Kuwa wakwanza kusoma magazeti ya leo kupitia hapa
Monday, August 17, 2015
Sunday, August 16, 2015
UNAJUA NINI KUHUSU UKUTA MKUBWA WA CHINA?? SOMA HAPA UPATE HISTORIA
Ukuta mkubwa wa china ni moja kati ya vitu vikubwa ambavyo vime tengenezwa na binadamu. Ukuta huu umekatiza milima, jangwa na sehemu zenye uoto hadi kufikia kilomita 6,000. Ukuta wa china ulijengwa ili kujilinda na maadui kutoka nje na mambo mengine kama usafili. Kwasasa watalii kutika kote dunian huenda china kutembelea ukuta huo.Mwanzo wa ukuta huu ulianza kama vijiukuta vidogovidogo ambavyo vilikua havija unganishwa kwa pamoja. Sehemu ya kwanza ya ukuta huo ulijengwa ilijengwa mnamo mapema miaka ya 600 kabla ya kuja kwa yesu. Kadri mda ulivo zidi kwenda tawala za kifalme za kichina ziliungana pamoja.ma elfu ya wanajeshi, wafungwa na wakulima wadogo walihusika kujenga ukuta huo. ulikuja kukamilika mnamo kalne ya 17.
Ukuta wa china ulijengwa kwa kutumia takataka, matope,mawe na vigai. Pia inasemekana watu walokuwa wanakufa katika ujenzi huo walizikwa katikati ya ukuta wakitumika kama sehemu ya ukuta huo.
ukuta huu una urefu wa mita 5 hadi 9 kutoka usawa wa ardhi na mita 8 upana. juu ya ukuta huo kuna njia ndogo za kutembea kwa miguu. kila baada ya mita 100 na zaidi palijengwa m
nara wa kukaa wanajeshi wa ulinzi. iliyumika kamasehemu ya uangalizi na kutuma taarifa. walinzi wa ukuta huo walitumia moshi kama ishara ya kutoa taarifa kwa wenzao mda zaidi mbele mamilioni ya wachina waliulinda ukuta huo. kufika mwishoni wa zama za kati za mawe ukuta wa china ulisitisha kazi zake za kijeshi.
Mwaka 2006 serekali ya china ilianza kuchukua hatua ya kuulinda ukuta huo mkubwa china. Leo ukuta wa china ni ulithi wa dunia, alama ya china na kivutio kikubwa cha watalii kutoka kote duniani.
Friday, August 14, 2015
MFUNGWA, SOMA STORY HII YA MFUNGWA {true story}

Kwa jina alijulika kama Juma, umri wake 30 mkazi wa moshi vijijini.juma alikua na mke mmoja na watoto watatu alio ishi nao huko moshi. juma alikua mlinz katiaka kampuni moja huko moshi;
Usiku mmoja juma alikuwa mawindon kwake kuna msichana alikutwa amezilai na uchnguzi ulipo fanyika ilioneka kuwa msichana yule alibakwa.
mtu wa kwana kukamatwa alikua juma kwasababu msichana alikutwa karibu kabisa na maeneo ya kazi yake. siku tatu baadae juma alipelekwa mahakamani. kwakua hakua na mtu wa kumtetea na hatimaye kushnda kesi yake juma alihukumiwa miaka 15 jela.
Maskini juma alilia kwa uchungu sana kwakuwa alikua ana fungwa kwa kosa ambalo yeye mwenyewe hakulifanya. aliwaza familia yake yani mke na watoto wote anawaacha katika hali ngumu sana. mke wa juma alilia kwa uchungu sana pia akiwaza mzigoo anaoachiwa. akukua na la kufanya zaidi ya kulia tu!
Alipofika gerezani juma alikua ni mtu wa huzuni siku zote wala hakupata mda wa kufurahi. ilimchukua mdaa sana kuzoea mazingira ya gereza.
juma alifanikiwa kupata rafiki mmoja aliekuwa mzikaji wafungwa wanao fariki hapo gerezani, alimsimulia kisa chake na mzikaji alihudhunika sana na" kumwabia pole sana ndio dunia ilivyo", Urafiki wa mzikaji na juma ulizidi kustawi siku hadi siku.
Siku moja juma alimwambia mzikaji "nimechoka kuishi maisha haya" mzikaji akamwambia huna jinsi inakupasa uvumili tu. Lakini juma alionekana kuwa ana wazo kichwani mwake na mda kidogo ika bidi amwambie mzikaji "nisaidie niweze kutoroka hapa gerezani", aliyasema hayo akiamini mzikaji ni mwenyeji. mzikaji alimjibu kuwa hilo swala haliwezekani.
Kesho yake mzikaji alimfuata juma na kumwambia "naweza kukusaidia ila yakupasa uwe mvumilivu" juma ali msogelea mzkaji kwa furaha sana ili amsikilize vizuri.
mzikaji akamwambia juma nitakusaidia ila uwe na uvumilivu na ninaamini uta weza.juma kwa ujasili akasema "niambie bwana"
mzikaji aka mwambia siku ukisikia kengele ya msiba tuu hara kimbia katia chumba cha kuhifadhia maiti, humo utakuta jeneza lenye maiti na itakubidi uiingie na wewe humo alafu baada ya mda mi ntakuja kulifunga jeneza hilo kwa misumari. tutakuchukua hadi makaburini na tukisha kufukia baada ya dakika 30 mimi nitarudi kuja kukufukua, Naamini dakika 30 hautaweza kuishiwa pumzi.
Ilimshitua sana juma na kumfanya anyong'onyeee. lakini akajipa moyo kuwa ni bora kufanya hivyo kuliko kuishi miaka 15 hapo gerezani.
Siku iliyofuata kengele ya msiba ililia kuashiria kuna mfungwa mwenzao kaaga dunia. Juma bila kuchelewa akafanya kama alivyo ambiwa na mzikaji. alipofika katika chumba cha mait alikuta kulikua na giza na alilikuta kweli jeneza lenye maiti ikiwa imefunikwa basi nae akaingiakatika jeneza lile. si punde akasikia jeneza likipigwa nyundo kuwa lina fungwa. akajua mkombozi wake mzikaji ana fanya kama walivyo panga, walipo fika makaburini jeneza liliwekwa kwenye shimo na kuanza kufukiwa.
juma alijawa na uoga mwingi lakini alijikaza. zikapita dakika 10,20 had 30 lakini mzikaji hakufika. alianza kuogopa na kuwaza, huku jasho likimtoka lakini akajisemea mwenyewe kuwa "kama nimepangiwa kukaa sehemu yenye mateso kwa miaka 15 ntashindwaje kukaa humu kwa dakika kadha?" alijipa moyo na kuendelea kusubili. laikini baadae akapata wazo la kuifunua maiti aliyokua amelala nayo, la haulaaaa juma hakuamini alichokiona. mzikaji ambaye ndio ulikuwa msaada wake ndio alikuwa amezikwa nae. nguvu zilimwisha,
unajua kilicho fuata....
Thursday, August 13, 2015
MASHABIKI WA TEAM KIBA NA TEAM DIMOND KWENYE TUNZO ZA AFRMMA
Nilidhani hizi teams zimekufa kumbe bado. Huko katika mtandao wa kupiga kura za tunzo za AFRIMMA mashabiki wa wanamuziki kutoka Tanzania Diamond platnumz na Ally kiba wanaoneka kurumbana katika uchaguzi wao.
Katika nominees zenye comment nyingi ni ile ya BEST MALE EAST AFRICA, ambapo ina wakuta nisha mafundi hawa wawili kutoka TZ.
Diamond ndio anaongoza kutoka Tanzania kuwa katika kategori nyingi zaidi yaani
1/best male east africa
2/artist of the year
3/dance in video
4/best collaboration (nana)
5/video of the year
6/song of the year (ntampata wapi)
Wakati huo wasanii wengine kutoka TZ kama Vannesa mdee, ommy dimpoz, mrisho mpoto na ally kiba wakidondokea katika kategori mojamoja.
kupiga kura kwenye afrimma bofya HAPA
kuona mjada wa best male east africa bofya HAPA
Katika nominees zenye comment nyingi ni ile ya BEST MALE EAST AFRICA, ambapo ina wakuta nisha mafundi hawa wawili kutoka TZ.
Diamond ndio anaongoza kutoka Tanzania kuwa katika kategori nyingi zaidi yaani
1/best male east africa
2/artist of the year
3/dance in video
4/best collaboration (nana)
5/video of the year
6/song of the year (ntampata wapi)
Wakati huo wasanii wengine kutoka TZ kama Vannesa mdee, ommy dimpoz, mrisho mpoto na ally kiba wakidondokea katika kategori mojamoja.
kupiga kura kwenye afrimma bofya HAPA
kuona mjada wa best male east africa bofya HAPA
Subscribe to:
Posts (Atom)



