Showing posts with label HOW TO. Show all posts
Showing posts with label HOW TO. Show all posts

Thursday, April 30, 2020

HOW TO UNLOCK NETWORK AZUMI V5+ (azumi speed5)

Hello friend and fixer,
I have a good news to you all that now you can unlock network to AZUMI V5+ in easy way, i mean by just one click.
just contact me +255621049855,the price is $5 from abroad and 7000tsh here in TZ

Friday, January 9, 2015

NOW BOOT BY USING USB STORAGE

Kutokana na watu wengi kuendelea kutaabika kubadilisha operating system zao (windows) kwa kutumia flash, leo nimeona nirudie ili kila mtu ajue. Fuata hatua zifuatazo.
       1.Nenda kwenye START BUTTON, 
       2.Nenda kwenye SEARCH alafu andika CMD.
       3.Ikitokea hiyo cmd una bofya kitufe cha kulia kwenye kipanya chako, alafu utachagua OPEN AS ADMINISTRATOR. baada ya  hapo fatisha screenshot hapo chini,