Thursday, January 25, 2018

SAFARI YA ALEXIS SANCHEZ


Mwanasoka Alexis Sánchez alizaliwa mnamo 19/12/1988 Katika nchi ya chile.Alianza Kandarasi yake mwaka 2005 akiwa na umri wa miaka 17 tuu katika klabu ya Cobreloa akidumu kwa msimu mmoja akicheza mechi 47 akifunga magoli 9.






Baada ya miaka 3 ya mafanikio katika klabu ya udinese Sanchez alihamia katika klabu ya barcelona mnamo mwaka 2008 kwa dau la euro 30 milioni, akiwa na rekodi ya kua mchezaji ghali zaidi katika nchi ya chile.













Katika msimu wa kwanza akiwa Barcelona sanchez akishirikana na akina lionel messi na Dvid villa walifanikiwa kutwaa vikombe 4 likiwemo lile la klabu bingwa duniani na katika msimu wa mwaka 2012-2013 alifanikiwa kutwaa taji la La liga


 Mwaka ulio fuatia 2014 sanchez alihama kutoka Barcelona kwenda huko England katika klabu ya Arsenal Kwa dau la euro 35 milioni. Alidumu huko kwa muda wa mika minne (4) akiwa amefanikiwa kufunga magoli 60 katika mechi 122 na mataji 2 ya FA Community shield na FA CUP.





Mnamo tarehe 22/01/2018 Sanchez alihama katika klabu ya arsenal na kuamia katika klabu ya Manchester United kwa uhamisho wenye thamani ya paundi 35 milioni