Sunday, August 16, 2015

UNAJUA NINI KUHUSU UKUTA MKUBWA WA CHINA?? SOMA HAPA UPATE HISTORIA

Ukuta mkubwa wa china ni moja kati ya vitu vikubwa ambavyo vime tengenezwa na binadamu. Ukuta huu umekatiza milima, jangwa na sehemu zenye uoto hadi kufikia kilomita 6,000. Ukuta wa china ulijengwa ili kujilinda  na maadui kutoka nje na mambo mengine kama usafili. Kwasasa watalii kutika kote dunian huenda china kutembelea  ukuta huo.

Mwanzo wa ukuta huu ulianza kama vijiukuta vidogovidogo ambavyo vilikua havija unganishwa kwa pamoja. Sehemu ya kwanza ya ukuta huo ulijengwa ilijengwa mnamo mapema miaka ya 600 kabla ya kuja kwa yesu. Kadri mda ulivo zidi kwenda tawala za kifalme za kichina ziliungana pamoja.ma elfu ya wanajeshi, wafungwa na wakulima wadogo walihusika kujenga ukuta huo. ulikuja kukamilika mnamo kalne ya 17.

Ukuta wa china ulijengwa kwa kutumia takataka, matope,mawe na vigai. Pia inasemekana watu walokuwa wanakufa katika ujenzi huo walizikwa katikati ya ukuta wakitumika kama sehemu ya ukuta huo.
ukuta huu una urefu wa mita 5 hadi 9 kutoka usawa wa ardhi na mita 8 upana. juu ya ukuta huo kuna njia ndogo za kutembea kwa miguu. kila baada ya mita 100 na zaidi palijengwa m
nara wa kukaa wanajeshi wa ulinzi. iliyumika kamasehemu ya uangalizi na kutuma taarifa. walinzi wa ukuta huo walitumia moshi kama ishara ya kutoa taarifa kwa wenzao mda zaidi mbele mamilioni ya wachina waliulinda ukuta huo. kufika mwishoni wa zama za kati za mawe ukuta wa china ulisitisha kazi zake za kijeshi.

Tokeo la picha la history of china wall in englishKalne zilivyo zidi kwenda ukuta wa china ulianza kuchakaa na kuharibika kwa njia ya hali ya hewa, tetemeko la ardhi na vita. serekali ya china iliamua kuharibu baadhi ya sehemu ili kujenga barabara nyingine za usafirishaji. katika upande wa magharibi wa china ilikuwa imepitiwa na ukuta huo, kama matoke ya kuharibika kwa ukuta huo zaidi ya nusu uliharibika kabisa, wakati 30% ya ukuta huo imebaki vizuri hadi leo.

Mwaka 2006 serekali ya china ilianza kuchukua hatua ya kuulinda ukuta huo mkubwa china. Leo ukuta wa china ni ulithi wa dunia, alama ya china na kivutio kikubwa cha watalii kutoka kote duniani.


Friday, August 14, 2015

MFUNGWA, SOMA STORY HII YA MFUNGWA {true story}


Kwa jina alijulika kama  Juma, umri wake 30 mkazi wa moshi vijijini.juma alikua na mke mmoja na watoto watatu alio ishi nao huko moshi. juma alikua mlinz katiaka kampuni moja  huko moshi;
Usiku mmoja juma alikuwa mawindon kwake kuna msichana alikutwa amezilai na uchnguzi ulipo fanyika ilioneka kuwa msichana yule alibakwa.
mtu wa kwana kukamatwa alikua juma kwasababu msichana alikutwa karibu kabisa na maeneo ya kazi yake. siku tatu baadae juma alipelekwa mahakamani. kwakua hakua na mtu wa kumtetea na hatimaye kushnda kesi yake juma alihukumiwa miaka 15 jela.
Maskini juma alilia kwa uchungu sana kwakuwa alikua ana fungwa kwa kosa ambalo yeye mwenyewe hakulifanya. aliwaza familia yake yani mke na watoto wote anawaacha katika hali ngumu sana. mke wa juma alilia kwa uchungu sana pia akiwaza mzigoo anaoachiwa. akukua na la kufanya zaidi ya kulia tu!
Alipofika gerezani juma alikua ni mtu wa huzuni siku zote wala hakupata mda wa kufurahi. ilimchukua mdaa sana  kuzoea mazingira ya gereza.
juma alifanikiwa kupata rafiki mmoja aliekuwa mzikaji wafungwa wanao fariki hapo gerezani, alimsimulia kisa chake na mzikaji alihudhunika sana na" kumwabia pole sana ndio dunia ilivyo", Urafiki wa mzikaji na juma ulizidi kustawi siku hadi siku.

Siku moja juma alimwambia mzikaji "nimechoka kuishi maisha haya" mzikaji akamwambia huna jinsi inakupasa uvumili tu. Lakini juma alionekana kuwa ana wazo kichwani mwake na mda kidogo ika bidi amwambie mzikaji "nisaidie niweze kutoroka hapa gerezani", aliyasema hayo akiamini mzikaji ni mwenyeji. mzikaji alimjibu kuwa hilo swala haliwezekani.

Kesho yake mzikaji alimfuata juma na kumwambia "naweza kukusaidia ila yakupasa uwe mvumilivu" juma ali msogelea  mzkaji kwa furaha sana ili amsikilize vizuri.
mzikaji akamwambia juma  nitakusaidia ila uwe na uvumilivu na ninaamini uta weza.juma kwa ujasili akasema "niambie bwana"
mzikaji aka mwambia siku ukisikia kengele ya msiba tuu hara kimbia katia chumba cha kuhifadhia maiti, humo utakuta jeneza lenye maiti na itakubidi uiingie na wewe humo alafu baada ya mda mi ntakuja kulifunga jeneza hilo kwa misumari. tutakuchukua hadi makaburini na tukisha kufukia baada ya dakika 30 mimi nitarudi kuja kukufukua, Naamini dakika 30 hautaweza kuishiwa pumzi.
Ilimshitua sana juma na kumfanya anyong'onyeee. lakini akajipa moyo kuwa ni bora kufanya hivyo kuliko kuishi miaka 15 hapo gerezani.

Siku iliyofuata kengele ya msiba ililia kuashiria kuna mfungwa mwenzao kaaga dunia. Juma bila kuchelewa akafanya kama alivyo ambiwa na mzikaji. alipofika katika chumba cha mait alikuta kulikua na giza na alilikuta kweli jeneza lenye maiti ikiwa imefunikwa basi nae akaingiakatika jeneza lile. si punde akasikia jeneza likipigwa nyundo kuwa lina fungwa. akajua mkombozi wake mzikaji ana fanya kama walivyo panga, walipo fika makaburini jeneza liliwekwa kwenye shimo na kuanza kufukiwa.

juma alijawa na uoga mwingi lakini alijikaza. zikapita dakika 10,20 had 30 lakini mzikaji hakufika. alianza kuogopa na kuwaza, huku jasho likimtoka lakini akajisemea mwenyewe kuwa "kama nimepangiwa kukaa sehemu yenye mateso kwa miaka 15 ntashindwaje kukaa humu kwa dakika kadha?" alijipa moyo na kuendelea kusubili. laikini baadae akapata wazo la kuifunua maiti aliyokua amelala nayo,   la haulaaaa juma hakuamini alichokiona. mzikaji ambaye ndio ulikuwa msaada wake ndio alikuwa amezikwa nae. nguvu zilimwisha,

unajua kilicho fuata....

Thursday, August 13, 2015

UNAMJU BROTHER K WA FUTUHI? VMBWANGA VYAKE JE? EBU CHEKA NA HII

  Brother k ni mmoja kati ya wachekeshaji waubwa hapa nchini Tanzania, brother k anatokea katika kikundi na kipindi cha uchekeshaji kinacho julikana kwa jina la FUTUHI. cheka vimbwabga vyake hapa chini
i

MASHABIKI WA TEAM KIBA NA TEAM DIMOND KWENYE TUNZO ZA AFRMMA

Nilidhani hizi teams zimekufa kumbe bado. Huko katika mtandao wa kupiga kura za tunzo za AFRIMMA mashabiki wa wanamuziki kutoka Tanzania Diamond platnumz na Ally kiba wanaoneka kurumbana katika uchaguzi wao.










Katika nominees zenye comment nyingi ni ile ya BEST MALE EAST AFRICA, ambapo ina wakuta nisha mafundi hawa wawili kutoka TZ.
Diamond ndio anaongoza kutoka Tanzania kuwa katika kategori nyingi zaidi yaani
1/best male east africa
2/artist of the year
3/dance in video
4/best collaboration (nana)
5/video of the year
6/song of the year (ntampata wapi)
Wakati huo wasanii wengine kutoka TZ kama Vannesa mdee, ommy dimpoz, mrisho mpoto na ally kiba wakidondokea katika kategori mojamoja.










kupiga kura kwenye afrimma bofya HAPA
kuona mjada wa best male east africa bofya  HAPA

SOMA HAPA UJUE VITU AMBAVYO WANAUME WANAHITAJI KUJUA KWENYE MAPENZI

So, okay — you’ve nailed a few things about having sex down to an art. You know how to move your hips, you’ve likely made at least one woman (we hope) orgasm and you can get the job done with your hand if you’re in need. But while your 20s are full of one night stands, bad experiences and some pretty incredible ones, by the time you get to the big 3-0, women everywhere are livin’ on a prayer that you up your sex game for the next decade.
Straight from your future wife’s heart to the expert advice of sex therapists, here are the nine things you should know how to do in the bedroom before you turn 30:
How to put your partner’s pleasure before your own.
Chances are you’ve known how to make yourself ejaculate since you first discovered masturbation as a teenager. While many women do explore early, it often takes much (much!) longer for women to reach the grand finale. To be a caring, loving and passionate lover, it’s important that you don’t finish too fast and ruin the experience for her. “There's a bigger pay off to you when you put her pleasure before yours. It shows that you are not only a considerate lover but many women interpret it as an overall sensitivity and statement about your respect for her,” relationship and sex therapist Dr. Kat Van Kirk says. “Learn to enjoy the sensation of making out and foreplay to make sure that you develop a more inclusive definition of sex.”
How to go down on a woman… effectively.
We’re not sure who started the rumor that to make a woman orgasm you simply draw the alphabet with your tongue down there, but we’re here to call bulls***. “Many younger men get intimated by oral sex and don’t learn to fully enjoy it,” Dr. Kirk says. “As you approach 30, you should have had enough practice to learn how to relax into it and watch her response so that you’ll — and she’ll — get more out of it.” If you need a little tutorial, Dr. Kirk says to not focus entirely on the head of the clitoris: “The clitoris is actually wishbone shaped and runs down either side of the vagina under the labia. Learn to lick, suck and tease the labia minora and majora,” she says. “Also give some attention to the area that surrounds the clitoris. Many women find direct clitoral stimulation too much for them.”
How to stay faithful to one woman, and enjoy great sex over time.
Now, there’s nothing wrong with experimenting and casual sex when you’re dating and looking for the right partner. But there also comes a time when you realize that settling in with one person isn’t settling; rather, it’ll create the hottest foundation for some of the best sex of your life — instead of quick fixes that don’t last. If you’re worried about keeping the heat alive, that’s actually a good sign, and means you’ll put effort into making your sex life exciting. “Research says that keeping things spontaneous tends to help keep people together longer,” Dr. Kirk says. “Learning to be vulnerable with your partner about how you feel and what turns you on can help you both feel more invested and satisfied in your relationship over time as well."
How to understand when she's not in the mood — but also how to get her into the mood.
Though you might be ready to go at it as soon as you wake up and get annoyed when you’re turned down what seems like every night of the week, sexual maturity means valuing a mutual connection instead of your hard-on. Instead of rolling your eyes or getting upset, consider what you can do to better understand what will get her in the mood instead of why she’s not horny. “Many men (and women) don't realize that the typical female sexual response cycle is reliant on physical stimulation; which means that either she or you needs to initiate actual touch in order to become aroused,” Dr. Kirk says. “Men have more testosterone in their bodies, which is the main hormonal driver of sex. Women are not as testosterone-driven, therefore arousal often needs to take place through purposeful fantasy or touch first.”
 The importance of romance in the bedroom.
If the mere thought of romance seems ridiculous to you — and only something you do on Valentine’s Day when you’re forced — it’s time to rethink what it actually means to be romantic in your relationship. Sometimes, it can be as simple as a sweet note, a soft touch or the right word whispered. Those happy feelings between both of you can actually bring you closer. “Every time you touch your partner in a loving manner, the bonding hormone oxytocin gets released in your body,” Dr. Kirk says. “Romance means making an effort, even if they are small efforts. Lighting a candle, giving a foot rub, pouring a glass of champagne can all be little investments in your romantic life that pay off big time in the end.”
How to go more than once in the same night.
Often times, women might not experience that awesome orgasm from the first time you have sex in an evening, but by the second, they’re fully turned on and ready to go. Problem is, you can’t rise to the challenge every time that you’d like. By 30, you can train yourself — and your body — to be able to give her what she wants. Dr. Kirk says that if you want to ejaculate more than once in the same night, it all has to do with your refractory period, which is the time that elapses from your last ejaculation to your next erection. Times vary and they tend to correlate with age (the shorter the period, the younger you are). “But don't let that stop you from engaging in more sex play; sometimes you might be pleasantly surprised,” she says. “Also, orgasm and ejaculation are not actually the same process. Many men are able to train themselves to be multiply orgasmic. This means they have learned to orgasm without ejaculating."
How to get off without sacrificing your partner — or acting like a jack rabbit.
Quickies totally have their time and place, and they’re a healthy addition to your normal sex routine, but they shouldn’t be the go-to move in your sex life. “Unfortunately, many men have trained themselves to ejaculate quickly so they wouldn't get 'caught.' This sexual response then carries over to being with a partner,” Dr. Kirk says. “Re-training yourself to get off in a variety of ways and times will help you become more flexible and able to help you both stay satisfied in bed." Trust us — no one wants to marry a Jack Rabbit. No one.
How to seduce a woman.
If you want to really, really make her feel sexual and beautiful, the answer is in seduction. However, if you haven’t upped your strategy or the words you use to make her feel loved since college, it’s time to, well, grow up. "Seduction has more to do with emotional connection than physical. A woman needs to feel comfortable with you and know that you are interested in her,” Dr. Kirk says. “Paying attention to what she is saying, making eye contact, appropriately touching her to let her know you are interested, is the best way to grease the wheel — so to speak.”
How to have sex and make love — and know the difference.
When you really care about someone, your sex life will reflect your relationship. While you’ll have some really hot times that have dirty talk, possibly some S&M and some rougher sex, you’ll also want to take the time to really experience each other and make love. “Making love involves more time and and attention to the finer things about sex. It's all about the details,” Dr. Kirk says. “Having a wider definition of sex and focusing on sensation will help you stay present in the moment. Looking in her eyes at different points during sex and connecting with her on all levels beyond penetration will help you convey to her that you are in it for more than just to get off."

SOURCE CLICK  here

Monday, August 10, 2015

KWA MARA YA KWANZA NIMEJIONEA VIDEO YA NGONO YA BONGO, JIONEE MWEYEWE

Nilikuaga nasikia tuu kuwa kuna wabongo wame cheza filamu ya ngono nikawa siamini, leo nimeamini. je na wewe unataka kuamini cheki hii video